Wakuu wote humu mmeshindaje? Mie namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa [emoji1431]
View attachment 1106473
Mahakama kuu nchini Burundi na mwendesha mashtaka wa serikali wametoa amri ya kuzitaifisha mali za watu 41 wanaoikosoa serikali.
Watu ambao wameathirika na tamko hilo ni wanasiasa wa zamani, wanaharakati wa haki za kibinadamu na waandishi wa habari, pamoja na afisa wa jeshi ambao wamefungwa jela nchini humo.
Afrika bado sanaaaa !!!Kwahiyo na wale wanaosifia Serikali hiyo nao watafaidikaje?
Afrika linafanywa kuwa ni Bara la kipuuzi na kigenge cha wahafidhina wachache
Alhamdulillah, binafsi nimeshinda salama bro
Mi nakomba zote [emoji16][emoji16][emoji16]