BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
jamani hizi sheria ziangaliwe upya, watu wamefanya mapenzi mara nne bila ya kufungana kamba kama ng'ombe wanavyopandishiwa halafu dhambi inamuangukia mwanamume peke yake.
Polisi Wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili, Venance Kasolo (17) kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake anayesoma kidato cha kwanza.
Mwanafunzi huyo, alikiri kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake wanayesoma pamoja katika Shule ya Sekondari Kirando, akidai kuwa wamefanya tendo la ndoa mara nne
MAYEXIT
Theresa May kujiuzulu kama kiongozi wa chama cha Conservative tarehe 7 Juni na kutoa fursa kuidhinishwa mchakato wa kuchaguliwa waziri mkuu mpya Uingereza.
utani mwengine haufurahishi.
eti wanasema jamaa kaamua aongozane na google translator huko afrika kusini
RAIS MAGUFULI AAMBATANA NA KIKWETE KWENDA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAMAPHOSA
Wakulima wote poleni sana
Wafanyakazi wote poleni sana
Poleni wa kusoma
Jamaa kila alichosema kimetokea, watu wamejaaliwa maono
Poleni mlio kwenye daladala
Nyumbani naishi jirani na mwanamama mkristo kwa zaidi ya muongo mmoja, nazungumza naye, akiwa na shida sijawahi kumkatalia msaada na mambo mengine mengi, Sielewi kwa nini wengineo wanajiingiza kwenye visasi vya kijinga.
Raia mmoja wa Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka 110 gerezani kwa kushiriki ugaidi nchini Kenya.
Abdul Harun Karim alikamatwa kwenye kisiwa cha Kiwayu jimbo la Lamu akirekodi video ya maeneo lengwa kwa niaba ya wanamgambo wa kigaidi wa Al Shabab.
Alihukumiwa kwa makosa 6 yanayokiuka sheria kali dhidi ya ugaidi zilizopitishwa mwaka wa 2012.
Kila mtu ana umuhimu wake
ilipaswa mwanamke akitoka kujifungua apewe miaka miwili alee mtoto wake baadae na yeye atumikie kifungo kama mwanamume.