Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
HUU NDIO UJIRANI WA DAR;-
Bakari Haruna (38) amekumbwa na mauti na kuoza ndani zaidi ya siku 14 baada ya kuugua muda mrefu huku akiwa hana msaada wowote wa kumuangalia ata majirani zake 'wapangaji wenzake' kushindwa kwenda kumjulia hali ingawa mlango ulikuwa wazi.
Harufu nzito ndio iliyowakera na kuwafanya kwenda kuchungulia ndani na kukuta hali hiyo.
Vipi mtaani kwenu mnaishije!!?
'ILE KAULI YA JIRANI YAKO NDIO NDUGUYO SIYO DAR'
Pumzika Bakari.