Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nzuri tu bro hofu kwako ambae ulipotea kidogo hapa kwenye Uzi wetu.Sema bro. Za masiku?
Shukran Mkuu. Za kwako
Mambo yako poa. Tuendelee kula likes huku tukimshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nzuri tu bro hofu kwako ambae ulipotea kidogo hapa kwenye Uzi wetu.
Ukikisoma vizuri kisa cha Musa na mwamba utaona kuwa Musa na Haruni walifanya kosa kubwa la kizembe. Mungu alisema wafanye hiki lakini wao wakafanya kile. Mungu akawaadhibu, lakini akawapa wana wa Israeli baraka ya maji kama Musa na Haruni walivyoomba.
Mungu alikubaliana na kile ambacho Musa na Haruni walifanya ijapokuwa lilikuwa kosa. Maana maji yalitiririka kutoka kwenye mwamba! Kama Musa na Haruni walikosea kwa nini Mungu aliwapa wana wa Israeli muujiza wa maji? Kwa nini hakuwanyima kwa sababu viongozi wao walikosea? Huwezi kumzawadia mtu aliyekosea. Unamzawadia mtu aliyepatia. Kama Musa alikosea kwa nini maji yalitoka?
Kile alichokifanya Musa na Haruni hakikuwa na makosa machoni pa wanadamu; hakikuwa na makosa machoni pa Mungu pia! Lakini mtu mwenye haki yukoje? Mwenye haki ni yule ambaye siku zote yuko tayari kuumia kwa ajili ya watu wengine. Hata kama tendo analotaka kufanya kuwasaidia wengine litamkasirisha Mungu yuko tayari amkasirishe ili Mungu huyohuyo awabariki wengine.
Sisi wote ndivyo tunavyotakiwa kuwa. Tunatakiwa kuwa na upendo usiokuwa na masharti yoyote; na tunatakiwa kuwa tayari kufa kwa ajili ya maisha ya wenzetu.
Poa broNiko poa Mkuu looking forward for the weekend
Ndio jambo la msingi kabisaMambo yako poa. Tuendelee kula likes huku tukimahukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]