Mungu akijalia na mimi naweza miliki mjengo kama huu
Mungu akijalia na mimi naweza miliki mjengo kama huu
Nimechoka kuishi kwa mtogoleAmen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽Tuombe uzima na maisha marefu.
Hahahaha Kuna njia😂😂😂😂😂😂Penye nia.....
Hapo napika biriani tamuKule kwenye kutengeneza mahanjumati
![]()
DahWHOA!
![]()
Hapo napika biriani tamu
Pembeni kuwe na kashumbali 😋😋...Au pilau ya kufa mtu unaweza ukatafuna hadi vidole kwa wale ambao tnapenda kula kwa mkono