Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahahaah ila leo umetisha ndugu yangu nakupongeza sanaHawezi kuwa hivo you better
Hahahaah ila leo umetisha ndugu yangu nakupongeza sanaHawezi kuwa hivo you better
HahaahhahAhaàaaa good night sahivi nina 3png sickness[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] like to like na mbaki salama bandugu
00:4000:30
Mkui leo tunakesha kama kawa?[emoji4]00:40
Mkuu ndio unatokea karibu sanaHabari wakuu. Mpo poa?
AsanteMkuu ndio unatokea karibu sana
Hahahahaha ISIS yupoMkui leo tunakesha kama kawa?[emoji4]
Si tupo japo nasi tinachungulia chunguliaAsante
Majukumu yanabana sana. Nimezimiss like
Mshikaji unazingua. Huko nyuma watu wamejaribu kukushauri na hapa inaonekwna ni kama vile ulikuwa unawasanifu kiaina. Huku watu hawana muda wa kusoma mafumbo na vijembe may be muda huu usiku wa manane. Huku mambo short mtu unatoa na kupokea likes. Huku mafumbo kama haya sidhani kama ni mahali pake. Na kama bado una mpango wa kujiua ufutilie mbali na zingatia ushauri wa maana sana uliopewa hapa na brothers and sisters wanaokujali. Good luck!Not easy as u think broh sometimes u may face something very bad never met before as long as time goes on I will try to fix this by on my own way... If it won't help I will come here n express my feelings so as to release the poison made by someone but until on writing this article am not good at all it may end on death or injury..
Ikiwa kuna msichana(bado ujazaa) hapa... Wamana wanaelewa(they are matured enough so that they can handle/survive under difficulty circumstance) ndio maana nimebagua.. take it from me you are billion reasons why there are a lot of undefined/unexpected events happening in rltnshp of 21 century..
Tamaa mbaya, this won't end here..
Mungu anawaona baadhi yenu..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Pesa/mali zipo tulizikuta na tutaziacha kutafuta pesa easy compared to dignity and peace of mind/heart..
Heart attack..
Broken heart..
Cc:Sakayo Sakayo my lovely sister you never abandoned me... You always by my side you are my teacher, sister..
Your brother gbefa is here again under difficult moment never face before he real needs your help right now.. Na likes holders wote yaliyonikuta najuta kusoma kuwajua wadada mapema aiseee
Rasmi nawakimbia kwenye huu Uzi rasmi huku nikiwaachia fumbo ambalo kwa haraka haraka umelihisi lakini sio kama mnavyofikiri hiki ni kiwango cha juu... hadi pale nitakapo pata nafasi tena ya kupumua..
Wasalaam nilikuepo Mdogo wenu Gbefa... Me wa 96 tu... Nawapenda na kuwaheshimu nyote japokuwa...
Hitimisho
ni mwiko kukata tamaa...[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Imebaki id tu maana nikibadili nitapoteza marafiki zangu wengiKama tayari badilisha id
Sukumizia na maziwa halafu ulete mrejesho!Karanga mbichi
Unaweza ukawapa taarifa kabla hujabadilishaImebaki id tu maana nikibadili nitapoteza marafiki zangu wengi
"Hitimisho ni mwiko kukata tamaa"Not easy as u think broh sometimes u may face something very bad never met before as long as time goes on I will try to fix this by on my own way... If it won't help I will come here n express my feelings so as to release the poison made by someone but until on writing this article am not good at all it may end on death or injury..
Ikiwa kuna msichana(bado ujazaa) hapa... Wamana wanaelewa(they are matured enough so that they can handle/survive under difficulty circumstance) ndio maana nimebagua.. take it from me you are billion reasons why there are a lot of undefined/unexpected events happening in rltnshp of 21 century..
Tamaa mbaya, this won't end here..
Mungu anawaona baadhi yenu..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Pesa/mali zipo tulizikuta na tutaziacha kutafuta pesa easy compared to dignity and peace of mind/heart..
Heart attack..
Broken heart..
Cc:Sakayo Sakayo my lovely sister you never abandoned me... You always by my side you are my teacher, sister..
Your brother gbefa is here again under difficult moment never face before he real needs your help right now.. Na likes holders wote yaliyonikuta najuta kusoma kuwajua wadada mapema aiseee
Rasmi nawakimbia kwenye huu Uzi rasmi huku nikiwaachia fumbo ambalo kwa haraka haraka umelihisi lakini sio kama mnavyofikiri hiki ni kiwango cha juu... hadi pale nitakapo pata nafasi tena ya kupumua..
Wasalaam nilikuepo Mdogo wenu Gbefa... Me wa 96 tu... Nawapenda na kuwaheshimu nyote japokuwa...
Hitimisho
ni mwiko kukata tamaa...[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahahahaUnaweza ukawapa taarifa kabla hujabadilisha
Totoz zisipokuwepo unakuwa na muda wa kusoma magazeti na kutoa ushauri wa busara sana."Hitimisho ni mwiko kukata tamaa"
Hili neno uliloandika mwisho ndio jambo ambalo unatakiwa kuweka kwenye mind yako kwa sasa japo hatujajua nini unapitia.
Mistakes tunafanya na si wewe tu ndiye uliyefanya mistake kubwa kuliko mwingine ila wakati mwingine tunadhani hivyo kwa imani ya dini yangu naamini majaribu ni moja ya kitu kinachotufanya kuwa imara katika maisha japo linaweza kuleta negative impact katika life time.
Pia hapo hapo tuanatiwa moyo zaidi kuwa kila jaribu huja kulingana na kiwango cha imani ya mtu.
Endelea kuwa jasiri usiwaze sana kwa kusema "ITAKUWAJE" ila kwa sasa fikiria kwa kama ukifanya hicho kitu ambacho unataka kukifanya wazazi, walezi wako wa karibu na marafiki zako utawaacha katika hali gani. Ambao kila siku walikuwa karibu na wewe na wakikuombea ufike mbali leo umalize wish zao kwa wewe kufanya hicho kitu ambacho unataka kufanya.
Japo ni ngumu kwa sasa na inaumiza ila chukua mda utulie ili uweze kupata njia sahihi ya kufanya kwa mistake ambayo inaenda kubadili lifestyle ambayo ni nzuri zaidi na sio kuacha kilio, huzuni, majonzi kwa watu ambao walikuwa wanakupenda, kushauri, kukusupport kwa hayo maamuzi.
"MUNGU UFANYA NJIA PALE AMBAKO HAMNA NJIA"
Stay blessed my brother!
Be humble!