OFISI ya Makamu wa Rais imetoa mwongozo wenye vipengele tisa kwa wakaguzi na watekelezaji wa katazo la mifuko ya plastiki katika halmashauri zote nchini, utakaoanza kutumia Juni mosi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Mei 23, mwaka huu, wakaguzi wameagizwa kutumia busara kutekeleza...