Halafu mkuu hizi picha leo naziangalia kwa uwoga mno Jana nimeota Simba ananikimbiza mbaya nikajua tu sababu ni hizi picha 😀😀
Halafu mkuu hizi picha leo naziangalia kwa uwoga mno Jana nimeota Simba ananikimbiza mbaya nikajua tu sababu ni hizi picha [emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣We Jana nilikutana nao live kwenye ndoto Sema walijua mimi ni nani maana si kwa mbio zile.Hahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiogope kivuli, simba wa kwenye picha hali mtu[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We Jana nilikutana nao live kwenye ndoto Sema walijua mimi ni nani maana si kwa mbio zile.
Nzuri VE za masiku kadhaa?Za weekend VE?
Life is short to be sitting around miserable and people gonna talk whether you doing bad or good [emoji445][emoji445]I will drink [emoji3047] to that! yey yeah
Nimebadili username VEVE ID yako ni aje?