Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshikaji unazingua. Huko nyuma watu wamejaribu kukushauri na hapa inaonekwna ni kama vile ulikuwa unawasanifu kiaina. Huku watu hawana muda wa kusoma mafumbo na vijembe may be muda huu usiku wa manane. Huku mambo short mtu unatoa na kupokea likes. Huku mafumbo kama haya sidhani kama ni mahali pake. Na kama bado una mpango wa kujiua ufutilie mbali na zingatia ushauri wa maana sana uliopewa hapa na brothers and sisters wanaokujali. Good luck!
 
"Hitimisho ni mwiko kukata tamaa"
Hili neno uliloandika mwisho ndio jambo ambalo unatakiwa kuweka kwenye mind yako kwa sasa japo hatujajua nini unapitia.


Mistakes tunafanya na si wewe tu ndiye uliyefanya mistake kubwa kuliko mwingine ila wakati mwingine tunadhani hivyo kwa imani ya dini yangu naamini majaribu ni moja ya kitu kinachotufanya kuwa imara katika maisha japo linaweza kuleta negative impact katika life time.
Pia hapo hapo tuanatiwa moyo zaidi kuwa kila jaribu huja kulingana na kiwango cha imani ya mtu.
Endelea kuwa jasiri usiwaze sana kwa kusema "ITAKUWAJE" ila kwa sasa fikiria kwa kama ukifanya hicho kitu ambacho unataka kukifanya wazazi, walezi wako wa karibu na marafiki zako utawaacha katika hali gani. Ambao kila siku walikuwa karibu na wewe na wakikuombea ufike mbali leo umalize wish zao kwa wewe kufanya hicho kitu ambacho unataka kufanya.

Japo ni ngumu kwa sasa na inaumiza ila chukua mda utulie ili uweze kupata njia sahihi ya kufanya kwa mistake ambayo inaenda kubadili lifestyle ambayo ni nzuri zaidi na sio kuacha kilio, huzuni, majonzi kwa watu ambao walikuwa wanakupenda, kushauri, kukusupport kwa hayo maamuzi.




"MUNGU UFANYA NJIA PALE AMBAKO HAMNA NJIA"


Stay blessed my brother!
Be humble!
 
Totoz zisipokuwepo unakuwa na muda wa kusoma magazeti na kutoa ushauri wa busara sana.

Stay away from totoz !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…