Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Totoz zisipokuwepo unakuwa na muda wa kusoma magazeti na kutoa ushauri wa busara sana.

Stay away from totoz !!!
Hahahaha.
Kimtandao tu humu nimeamua kujiexpress katika uhusika huo.

Ila kiuhalisia namshukuru Mungu bado amenipa moyo wa kuendelea kustaimili pamoja na changamoto kama kijana kuweka totoz mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…