cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Lisilokuwapo moyoni halipo machoni.
MizaniKulima ni raki, njia ni rafiki.
Kiswazi katika uboraKuku akiacha wana yuna mai matumboni.
[emoji106] [emoji106]Kufarakana hakuvunji kujuana.
Katika ubora wakoKuanzisha urafiki si kazi, ngwamba ni kuupalia.
[emoji818] [emoji818]Adui shujaa ni bora zaidi kuliko rafiki mwoga.