Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mkuu anasema eti kila kitu wao tu 😁😁 na kuna Mto alisikia unaitwa nini sijui[emoji23][emoji23]
😂😂
Mkuu anasema eti kila kitu wao tu 😁😁 na kuna Mto alisikia unaitwa nini sijui[emoji23][emoji23]
Mambo Davet ?Miss you Cookie Smokey
Asingejazia maelezo kwenye mabano ungefikiri anaongelea kina kipi? Yaani wewe dah [emoji16][emoji16][emoji16]Bora umejazia maelezo kwenye mabano maana mmh!
😆😆 Jana nilikuwepo hapaPoa za miaka?
😂😂😂😂Asingejazia maelezo kwenye mabano ungefikiri anaongelea kina kipi? Yaani wewe dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulisema nini? [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu BAK najuta kureply kule kwenye uzi wa Zanzibar maana nimeandamwa sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sikumbuki kabisa kama nilikuona hapa jana😆😆 Jana nilikuwepo hapa
M.V. Shiro?Poleni Bukoba View attachment 1109173
Nilijaribu kuelezea bila kufungamana na upande wowote nikitetea pande zote mbili lakini wadau wanachukua vifungu ulivyotetea kambi pinzani tuUlisema nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
Una swaumu za mwendo kasi na mawazo yako sasa hahahaBora umejazia maelezo kwenye mabano maana mmh!
Naona siku hizi umepata fimbo ya kunichapia maana kila nikifanya hivi nakutana na swaumu 😁😁Una swaumu za mwendo kasi na mawazo yako sasa hahaha