Mkuu anasema eti kila kitu wao tu ππ na kuna Mto alisikia unaitwa nini sijui[emoji23][emoji23]
Mambo Davet ?Miss you Cookie Smokey
Asingejazia maelezo kwenye mabano ungefikiri anaongelea kina kipi? Yaani wewe dah [emoji16][emoji16][emoji16]Bora umejazia maelezo kwenye mabano maana mmh!
ππ Jana nilikuwepo hapaPoa za miaka?
ππππAsingejazia maelezo kwenye mabano ungefikiri anaongelea kina kipi? Yaani wewe dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulisema nini? [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu BAK najuta kureply kule kwenye uzi wa Zanzibar maana nimeandamwa sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sikumbuki kabisa kama nilikuona hapa janaππ Jana nilikuwepo hapa
M.V. Shiro?Poleni Bukoba View attachment 1109173
Nilijaribu kuelezea bila kufungamana na upande wowote nikitetea pande zote mbili lakini wadau wanachukua vifungu ulivyotetea kambi pinzani tuUlisema nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
Una swaumu za mwendo kasi na mawazo yako sasa hahahaBora umejazia maelezo kwenye mabano maana mmh!
Naona siku hizi umepata fimbo ya kunichapia maana kila nikifanya hivi nakutana na swaumu ππUna swaumu za mwendo kasi na mawazo yako sasa hahaha