Group la books readers bado lipo?
😁😁
nakaribia miezi 3 sina simu, toka nilipopoteza sijarudi huko.. kama uko interested utaniambia nikuombee link kwa mmoja wa admin (kama lipo bado)Group la books readers bado lipo?
Mwenyewe tu anajirusha rushaDavet mbona kasema yupo interested alipoona kapicha!😁
hebu soma hiki kama hujawahi kukisoma.. ni kizurii mnoo
Mwenyewe nilipotea muda flani bila kua na simu hivyo nilivyorudi hewani sikua member tena. Kama bado lipo fanya hivyo mkuu nitashukurunakaribia miezi 3 sina simu, toka nilipopoteza sijarudi huko.. kama uko interested utaniambia nikuombee link kwa mmoja wa admin (kama lipo bado)
🙏 🙏 Asante sanahebu soma hiki kama hujawahi kukisoma.. ni kizurii mnoo
ngoja nimfuatilieMwenyewe nilipotea muda flani bila kua na simu hivyo nilivyorudi hewani sikua member tena. Kama bado lipo fanya hivyo mkuu nitashukuru
Poa poangoja nimfuatilie