Wamepandishwa alafu Stand wameshushwa, hii ligi kimeoKagera Sugar kushuka daraja wanasimba fulu magego [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1111504
Vigezo vimezingatiwa ama ni ubabaishaji tu kama ilivyo kawaida yetu?Wamepandishwa alafu Stand wameshushwa, hii ligi kimeo
Kagera Sugar kushuka daraja wanasimba fulu magego [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1111504
Kusema kweli hata hiyo ya kwafunga simba tu, kwa maoni yangu, inatosha kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Kagera Sugar msimu mzima walijiandaa kwa mechi mbili tu dhidi ya Simba.
Walisahau kuwa ligi ilikuwa mechi nyingi
Nasikia Kagera alishushwa kwa ubabaishaji kuna mchambuzi mmoja dogo anaitwa Pilividinho ndio aliibua huo uozo naona akawa katibua diliVigezo vimezingatiwa ama ni ubabaishaji tu kama ilivyo kawaida yetu?