Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kuna jamaa yangu yupo JKT mwaka wa tatu sasa, akiona hii kitu anaweza kuzimia
Kuna jamaa yangu yupo JKT mwaka wa tatu sasa, akiona hii kitu anaweza kuzimia
Wanaoelewa unachotaka subiri watakuja kukusaidia mkuu...Kuwa na subira [emoji16][emoji16][emoji16]
Wafahamu Makatibu wa Kuu wa CCM tangu ilipozaliwa hadi sasa...
1. Pius Msekwa
2. Daudi Mwakawago
3. Rashid Mfaume Kawawa
4. Horace Kolimba
5. Laurence Gama
6. Philiph Japhet Mangula
7. Yusuph Rajabu Makamba
8. Wilson Chilemeji Mkama
9. Abdulrahaman Kinana
10. Bashiru Ally ( wa sasa)
nna mpenz kamalza 6 ila uume unakataa kuingia but, nkiweka kidol knaingia ila kwa mbinde, na anakua na hisia ila uume unakataa ukiweka anasogea tu tunaanza katkat ya kitanda ad anafka mwsho ukiweka anasogea anasem weka taratb ila ata aiingii ila kidole kinaingia an inaingia nusu tu anaumia na n nais kuumia ila nktoa anavaa akpandsha tena napga ila inakataa na kesh anatak kurd n ktoto kizur kasomea galz tupu
Ina maana kuandika vizuri huwezi? Halafu unajua kuwa huu ni mwezi mtukufu lwa wengine? [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanaziheshimu sana ethics za kazi zao Mkuu si kama kwetu watu wanaganga njaa wataruka huku na kule ili kulinda kitumbua kisiingie mchanga.
nielewesheDogo vipi, weka heshima kidogo
Halafu nadhani huu utaratibu wa kwamba mtu lazima kwanza uwe na vihela vyako unajiweza weza kwanza kabla hujagombea na kupewa haya mavyeo makubwa inasaidia sana. Wengi unakuta vipesa vya mshahara ni peanuts tu mtu ana ishu zake zingine. Hivyo kuachia madaraka siyo ishu kivile.
Sisi kwetu mtu hana cho chote na anategemea kila kitu kwenye kikazi hicho ndo aibe atajirike ajikomboe atajiuzulu saa ngapi?
Huwa sielewi kabisa ni kwa nini Mwl. Nyerere alidhani kuwa umasikini ndiyo sifa kuu ya kuwa kiongozi bora. Unampa masikini ukurugenzi wa shirika halafu eti unamtegemea asiibe si maajabu hayo?
Kuna jamaa yangu yupo JKT mwaka wa tatu sasa, akiona hii kitu anaweza kuzimia
Nimeitika wito....Umeshindaje?
Salama, vipi za majukumu?Nimeitika wito....Umeshindaje?
Salama, vipi za majukumu?