Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Philip Mangula ndiye pekee aliyekalia kiti hicho muda mrefu 10yrs
 
Dogo vipi, weka heshima kidogo
 
Umasikini wa kipato na umasikini wa fikra zinatesa siasa za Afrika na taaluma nyingine.
Ndiyo maana inakuwa kazi rahisi kumuhamisha profesa mbobezi kwenye kazi ya kitalaam kumpeleka kwenye siasa
Wanaziheshimu sana ethics za kazi zao Mkuu si kama kwetu watu wanaganga njaa wataruka huku na kule ili kulinda kitumbua kisiingie mchanga.
 
Ni ajabu sana, nadhani mwalimu ni kama alikuwa na hasira na matajiri.
Ila bado kuna wafuasi wake wanaodhani kiongozi fukara ndiye mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…