Mswano!Mambo vp Fraggy
Ni njema, naona unapambana!Fresh bro,habari za siku mbili tatu?
Pamoja sana bro[emoji23][emoji23]
Shukrani bro,Mungu anasaidia,chimbo lipo poa kabsa
Oh! Me pia hofu yangu ilikua juu yako 😀 😀Ooh haaha!
Majukumu yameenda sawia kabisa, hofu ni kwako!
Mzee wa msuli paperFresh bro,habari za siku mbili tatu?
Ndio nini[emoji15]Mswano!
Yes bro!!Ni njema, naona unapambana!
UE lini Bro? Ndio unamalizia ama badobado?
Ha ha ha aisee!!wanaita kunenepesha ng'ombe siku ya mnadaMzee wa msuli paper
😁Ndio nini[emoji15]
Nashukuru kwa kujali[emoji9]Oh! Me pia hofu yangu ilikua juu yako 😀 😀
Nashukuru kkuona tena hapa.
Poa. Pole na kuumwa!
Mbaya
Waaleykum Salaam
Mswano na wewe!![emoji2][emoji16]
Aisee!Ukizubaa wakubwa hawa wanakugeuza dampo la plastiki zao...
View attachment 1111287