Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Usikonde broNakutesaga sana bro. Ila kuna kuna kafuraha fulani hivi huwa napataga. Nisamehe bro [emoji16]
Vipi hedeki ya jana imeachia?
Jana nilikimbia hospital bhana na Mungu akawapa wataalamu uwezo wa kunisaidia hivyo nipo sawa sasa