myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Siku imeshika kasi
duh!!Meditation[emoji381]View attachment 1111300
Nzuri za kwako,tunamalizia swaumu
😂😂😂 utuache
Siku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana tupo aina tofauti tofauti.
1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamilika.
______________________________________
Mwanaume wa Colombia Jairo Vargas amekubali kukaa uchi juu ya gari la Mke wake na kutembezwa mtaani kama sharti alilopewa na Mke wake ili asamehewe baada ya kufumaniwa hotelini akichepuka na Mwanamke mwingine.
Tnx bro[emoji41]Karibu dimbani Mkuu nicca frm nowhre