Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Nashangaa bado nipo😁 Ulisema naniliu akirudi hutakuwepo!
Nashangaa bado nipo😁 Ulisema naniliu akirudi hutakuwepo!
Siunajua safari kama hizo usafiri miguu, nauli mluzi na karangaumesema nimekupoteza kwa sababu ya avatar yangu.
ina maana iyo safari yako umetembea kwa miguu?
🏇🏇🏇
Salama salmini,Nashukuru, vipi lakini umeamka salama?
Good news bro.Siku njema.Nipo fresh kabisa nashukuru Mungu kanisimamia, vp wewe umeamkaje?
Pamoja sana bro, Mungu akusimamie katika harakati zakoGood news bro.Siku njema.
Hawachi mpendwa, kumbe nawewe unagawa chai?😀😀Sasa huyo akiwa karibu na mimi mweupe mimi ni zaidi ya huyo 😀😀
Nzuri za kwako,tunamalizia swaumuHabari za leo
Walyeikum msalamAsalaam Alyeikum,
SafiNipo fresh kabisa nashukuru Mungu kanisimamia, vp wewe umeamkaje?
[emoji125][emoji125]Shwaiini zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1111237
Hawa watakua ni mafundi wa kanda za juu kule.
😂😂😂😂😂😂[emoji125][emoji125]Shwaiini zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule ambapo kwenda mpaka upande ndege?Hawa watakua ni mafundi wa kanda za juu kule.
Nakutesaga sana bro. Ila kuna kuna kafuraha fulani hivi huwa napataga. Nisamehe bro [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]