Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😂😂😂Hata Mfalme wa kuzinduliwa huwa anapoteaga kwanza. Akiusoma mchezo na kuona upepo umeanza kupoa kidogo ndiyo huyooo anakuja kujibaraguza baraguza. Halafu hamjakaa sawa uzi wa uzinduzi unafutwa...
Siku Yego naye akizinduliwa aisee sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]