Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wasemavyo watafsiri ndoto uchwara, nimeamua kuvunja tabiri za huyu bwege
  1. Kuota Unakunywa maji machafu(Ni ishara ya kupewa sumu katika ulimwengu wa roho na kuondoa moto wa Roho Mtakatifu) : niote nakunywa maji machafu kwani nyumbu
  2. Kuota unakoroma na unalia kwa uchungu(Ni Ishara kuwa adui anapanda mateso juu yako): nitaotaje nakoroma haliyakuwa mimi mwenyewe nakoroma kuliko simba mnyama
  3. Kuota unakula vyakula usiku (Ni Ishara kuwa umeunganishwa na mtandao wa kiuchawi): bado hujaijua njaa ndio maana, mimi nishaota usiku nakula wali kwa maharage na mpaka leo sijawahi kutembelewa hata na bundi.
  4. Kuota uko kwenye Mataa ya Barabarani( Ni Ishara kuwa pana Vikwazo vya kuendelea Mbele): kichekesho chegine hiki, ukiota upo barabarani ni dalili tosha siku za mbeleni utamiliki lamborghini aston martin de capdevilaa maringi 8
  5. Kuota unanyonyesha Mtoto wakati hauna mtoto(Ni Ishara kuwa kuna maadui wananufaika na wewe bila wewe kujijua): hii ni dalili ya kwamba utazaa na kulea kuliko mnyama paka (hupumui)
  6. Kuota umepigwa risasi ( Ni Ishara kuwa adui anakurushia mashambulizi): tafadhali hama nchi watu wasiojulikana wanakutafuta
  7. Kuota uko Uchi Ndotoni ( Ni Ishara ya kuaibishwa na kufedheheshwa): no comment nipeni mji, chonde chonde na popo bawa na wazee wateleza kutoka kigoma
  8. Kuota umepoteza Vyeti vya Shule ( Ni ishara adui anakuzuia usipate kazi) : dalili ya kuwa entrepreneeeeurre kuliko bill gates
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha Asiwe Injinia wetu tu!
Tayari Kichenza keshapata tenda [emoji16][emoji16][emoji16]

QUOTE="wiser1, post: 31631033, member: 315116"]Nimekupenda sana! Ukieza njoo unizalishe tu; ili upate watoto ng'aaaa ng'aaaa! Kichenza njoo nkupe utamu unaonesha ww bikra kabisa[/QUOTE]
 
Wakizinduliwa tu mbioooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mfalme wa kuzinduliwa huwa anapoteaga kwanza. Akiusoma mchezo na kuona upepo umeanza kupoa kidogo ndiyo huyooo anakuja kujibaraguza baraguza. Halafu hamjakaa sawa uzi wa uzinduzi unafutwa...

Siku Yego naye akizinduliwa aisee sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
2018-12-10%2009.48.55%201931095424556299713_1250431527~2.jpeg
 
Hata Mfalme wa kuzinduliwa huwa anapoteaga kwanza. Akiusoma mchezo na kuona upepo umeanza kupoa kidogo ndiyo huyooo anakuja kujibaraguza baraguza. Halafu hamjakaa sawa uzi wa uzinduzi unafutwa...

Siku Yego naye akizinduliwa aisee sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]

Huyu Yego ameshashindikana poti! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom