Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha kwamba tunaweka chumvi nyingi kwenye chakula
hapana hapana
nimebaki tu najiuliza muda huu mikono yenu imefungwa mashine ya kupimia viwango vya chumvi na sukari kwenye chakula?
mbona hamukosei ovyo kama wanaume wanapoamua kuingia jikoni.

lakini kuna mmoja siwezi kumsahau maishani mwangu, alipika keki ikawa imejaa maji kama ugali wa muhogo
😛 😛 😛
 
Mimi nikipika naonja Kisha natema ila chumvi huwa naweka kidogo bora kuongeza kuliko chakula kiwe na chumvi nyingi hata sukari nafanya hivyo.
 
Hahaha Asiwe Injinia wetu tu!
 
Back
Top Bottom