capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kasema anapenda Bro, tumpe mudaLabda kaogopa pea za mapacha [emoji16][emoji16][emoji16]
Kasema anapenda Bro, tumpe mudaLabda kaogopa pea za mapacha [emoji16][emoji16][emoji16]
Mgumu sana wa iPhone...Hakikisha anatema iphone mpyaaa
dah pengine upo sahihi.Kila kitu kinatokea kwa sababu Mungu amekuepusha na jambo mpendwa.
Hapana ila mie nawasindikiza tu walio funga SYB[emoji13]The Happiness nawe umefunga?
Afadhali umerudi. Nilikuwa nimeanza kushutumiwa eti nimekufukuza na pea zangu za mapacha ukaondoka bila kuaga. Thenkisi for kamingi baki [emoji122][emoji122][emoji122]Hapana ila mie nawasindikiza tu walio funga SYB[emoji13]
Nilitaka kuandika comment ndefu ila hiyo aya ya mwisho imenifanya nicheke na nistop 😀😀dah pengine upo sahihi.
lakini wizara ya fedha ni taasisi nyeti nyakati hizo wazee wa debit and credit wanahesabika.
si ajabu leo hii ningelikuwa nipo juu ya professor assad bin ndugai bin makinikiyya bin noah bin serengeti lager.
katu usimuamini daemusin chochote anachokiandika, anasumbuliwa na ugonjwa wa kushiba futari na uji wa nyama ya ng'ombe ya kusaga
Kuwa romantic basi sema dear mambo,sugar mzima,honey are you you fine,sweetie peee are you ok. Wachasugu[emoji125][emoji125]
Bro Bro ile iphone utaikosa hivihivi [emoji16][emoji16]Alisaundi kama mjeshi vile dah...
Aibu tupu yaani [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Unajua headache inasababishwa na vitu gani?
Shauri ako 😀 😀Mgumu sana wa iPhone...
Sana sana mtaambulia codes tu na animesheni [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Utakuwa na maongezi mazito na wangapi bro? Na mimi nimemfanya nini The Hapiness mpaka akapoteza happiness akaenda kulala bila kuaga? Usinisingizie bro...
[emoji23][emoji23][emoji23]maweee iwee bojo chonka mawe
Happiness njoo watu tupate ubuyu
#anywaykijanauzihuutalakanjenje[emoji23][emoji23][emoji23]
Estraa keafuli
Nmemuona katoka nduki hapa ..
Na hakuniaga si kawaida yake.
Nimerudi Jamani,Muite na The Happiness twende wote tukawachape hao wachokozi [emoji23][emoji23]
Msikilize SYB ana ujumbe kwako.Nimerudi Jamani,
[emoji23][emoji23]nyie watu mmenichekesha sana leo
Haa,kumbe nimekuepusha enh,Afadhali umerudi. Nilikuwa nimeanza kushutumiwa eti nimekufukuza na pea zangu za mapacha ukaondoka bila kuaga. Thenkisi for kamingi baki [emoji122][emoji122][emoji122]
😛😛😛Nilitaka kuandika comment ndefu ila hiyo aya ya mwisho imenifanya nicheke na nistop 😀😀
Kwa kweli. the Silent watcherdah pengine upo sahihi.
lakini wizara ya fedha ni taasisi nyeti nyakati hizo wazee wa debit and credit wanahesabika.
si ajabu leo hii ningelikuwa nipo juu ya professor assad bin ndugai bin makinikiyya bin noah bin serengeti lager.
katu usimuamini daemusin chochote anachokiandika, anasumbuliwa na ugonjwa wa kushiba futari na uji wa nyama ya ng'ombe ya kusaga
Na wewe kikao chetu umeghairisha kwani?[emoji53]Msikilize SYB ana ujumbe kwako.
Hahahaha kwamba tunaweka chumvi nyingi kwenye chakula😛😛😛
raha ya ramadhani vile vyakula unavyo kula kwa mwezi mara moja unajikuta unavila kwa siku moja, stress za njaaa zinaondoka ghafla pindi unaposikia adhana.
wanawake oyeeee, uwepo wao unatusaidia kuepuka kula vyakula vilivyojaa chumvi nyingi kama maji ya bahari.
Hapa hapafai tena kwa kikao, nitakuja PM.Na wewe kikao chetu umeghairisha kwani?[emoji53]
the Silent watcher maana yake nini?Kwa kweli. the Silent watcher