Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Licha ya United kutawala mpira, Bayern ilionekana kuwa hatari katika mashambulizi ya kushtukiza. Mara kadhaa Jancker alionekana kuukimbia vema ukuta wa United huku mara chache kati ya hizo akibambwa na mtego wa kuotea.
 
Huwa nakwenda nyuma nazisoma...
Malavi davi yote nimeyasoma!
Kuna tofauti ya mtu anayesoma tu na aliyeshuhudia laivu. Wewe hujasoma bali ulikuwepo kabisa...

Yego naye alituletea hizi stori za eti alisimuliwa na mshua wake mambo deep tena detailed kweli ya mitaa yao huko Dar na akina Moud na Mzee wa Liver. Tulimvua uandaeitini imidiatili...
 
Hahaha,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
wakishaangusha kinyesi anachungulia chungulia kuona kimekupata au laa
emoji23.png
emoji23.png
ni shidaa, banter kidogo
siku moja nilikuwa nimevalia full nguo zangu za msiba wa dini ya kikristo (nyeusi), si unajua tena sisi wengine tumerithi uchafu badaka ya kurithi utajiri.

mara paap nikapata offer ya kufanya mahojiano ya kuajiriwa kupitia ofisi fulani na mshara ilikuwa ni shilingi 500 kwa siku.
ebwana weee si nikapita barabarani nyakati za asubuhi, nilikutana na mvua ya kinyesi cha kunguru hatimaye nilijikuta nguo zote zikibadilika rangi kutoka black to white maziwa from kolomijee.

interview ikanishinda kwa sababu sikuwa na nguo nyengine,
 
Kasoro mie,poti,wewe na davet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]maana bae wa uzi comment zake haziendan na swaumu
Ila ukimpushi kidogo naye utamsikia eti kafunga.

Halafu alisema kichwa kilikuwa kinamuuma. Hopefully kimeshaachia baada ya kufuturu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom