Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunajifunza marafiki sahihi ni wapi

Ikiwa utafanya kosa kutokana na aina ya marafiki ulio nao, ni wazi kuwa kosa hilo litakufundisha umuhimu wakutazama aina za watu au marafiki unaoshirikiana nao. Marafiki bora watakutia moyo na kukuhamasisha kuendelea mbele ili kutimiza malengo yako na siyo kukuzamisha.
 
.
FB_IMG_1558975620300.jpeg
 
Ataisoma namba.
Nitajinyamazisha kwa siku kadhaa, ikibidi sitapokea simu yake kwa siku hata 5 nikisubiri naye aanze kutoa ahadi [emoji23][emoji23].
Ataanza ooh, kata 150,000 nirudishie 1,350,000/.
Mara au chukia laki 2 ulizotaka, mara au kata laki 3.
Upo kimyaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani lazima ajute
Umemkopesha rafiki yako wa karibu Tshs 400,000 mwaka jana, lakini tokea wakati huo amekuwa mgumu kulipa deni hilo, kitu kilichochangia kudorora kwa urafiki wenu. Unamuomba akulipe basi walau Tshs 200,000 tu alafu umsamehe hiyo nyingine kwakuwa kwa sasa una ukata na matatizo na una uhitaji na hiyo hela.

Rafiki yako huyo anakuambia anaweza kukupatia tu Tshs 150,000 kwasababu ndio kiasi alichonacho. Unaona huna namna zaidi ya kukubali tu kiasi hicho. Unampatia details zako za benki na account namba akutumbukizie humo.

Kuamka asubuhi unatizama kwenye account yako unakuta kuna Tshs 1,500,000[emoji15][emoji15] Unatizama tena kwa makini huamini unachokiona lakini bado kweli ni Tshs 1,500,000.

Unatizama vizuri simu yako unakuta missed calls 53 na meseji 27 akiomba umrudishie Tshs 1,350,000 kwasababu alitaka kutuma tu Tshs 150,000 lakini akakosea akaongeza 0 moja.

Wewe ungechukua maamuzi gani?

1.Utamrudishia kiasi anachoomba urudishe Tshs 1,350,000?
2.Utachukua zile zako unazomdai Tshs 400,000?
3. Utachukua zote Tshs 1,500,000.?
 
Back
Top Bottom