Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbabe hana mpaka wa uonevu, huwaonea waliomkosa, waliokosea na wasio na makosa kwa sababu tu ya haki kuitazama kwa macho yake na kina chake badala ya uhuru wa haki usiobughudhiwa. Umaarufu wa mbabe ni kutega tega yalio na mashaka kwa wengi na kuyafanya kuwa ndio sababu ya ubabe wake kama mbadala wa haki anayoiona ndio udhaifu.
 
Mbabe ni muoga asie na ukweli, hutumia nguvu, majigambo na majisifu ya kujitukuza kuuficha udhaifu wake wa uoga wa kukosolewa akijuwa wazi matendo na kauli zake hayaendani na utu. Mbabe hupenda sifa na kusifiwa, hujilimbikizia utukufu asiejadiliwe kwa matendo yasio na utu. Mbabe hana maadili, hana sheria na haki yake ni ile yenye maslahi na yeye tu.
Huo ndio ukweli..
 
Ya JK ni Vasco Dagama, serikali nzima iko hewani wakibadili destinations. Rais yuko NY, pinda yuko London, Speaker yuko commonwealth, Membe yuko China.


Ya JPM ni matumizi ya bastola hadharani, ruhusa ya mauaji, Ubashite na watu wasiojulikana. Uimla bungeni, uimla kwa msajili, uimla hadi kwenye taasisi kama Rita. Awamu ya kiongozi wa maraika na ndie Ze mzizi Mkuu.
Hio ndio miaka hamsini ya maendeleo chini ya CCM.
 
Hivi unaweza kucheka bila ku-smile?

D56P4E-smile_3161171b.jpg
 
Back
Top Bottom