D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mfuko huu unatokana na ukusanyaji wa kodi moja kwa moja unaosimamiwa na serikali. Dhamana mfano ya kwa huku ya usimamiaji wa kodi ipo katika taasisi inayojulikana kama Her Majesty's Revenue and Customs (HMRC). Wao ndio wanaokusanya kodi inayotumika hazina katika bajeti ya serikali. Kwa Zanzibar ni sawa na ZRB na kwa muungano TRA.