Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[Hamed Alharthi - Dubai Media Presenter] Welcome to the Premier League - on new Newcastle owner
1109444

1109446
 
Hutekelezagi ahadi zako bro japo unapenda sana kuahidi ahidi. TECNO yangu mpaka imechanika kioo nimewekelea superglue na rubber band kibao wakati uliniahidi kabisa nikibashiri sawa sawa (na ikatokea hivyo) kuwa nitapata iPhone.

Mikogo tu bro [emoji36][emoji36][emoji36]
Bro!? Sikumbuki kama kuna kitu nimeahidi na sijatimiza.
 
Hizi dharau kwa wachezaji wa Man U 😂😂

Beckham atakiwa kurudi kuichezea Manchester
Hakuna mchezaji sasa wa Man U anaonyesha kiwango kizuri kama ilivyokuwa kwa hawa! Nadhani match hii hasa imetufariji sana wapenzi wa Man U.

Sasa Valencia/ Young unaweza mlinganisha na Becks?? Ama Giggs na Martial?!
 
Back
Top Bottom