myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:11
Sasa Bro,.. mwaka umeisha kwani?
Wewe bro ni changamoto ....Sasa Bro,.. mwaka umeisha kwani?
Mpo wengi wenye huu upendoI love Lagatha😕
Hawawezi kulingana broHakuna mchezaji sasa wa Man U anaonyesha kiwango kizuri kama ilivyokuwa kwa hawa! Nadhani match hii hasa imetufariji sana wapenzi wa Man U.
Sasa Valencia/ Young unaweza mlinganisha na Becks?? Ama Giggs na Martial?!
Aisee!!Wewe bro ni changamoto ....
Duuh! kweli mtunza kumbu kumbu