capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Sinasikia ni TakukuruHale wasiojulikana......
Wameteka , wameteka tena bwana!
Aisee!!
Kati ya watu ambao hawakutakiwa kuwa na shaka ni wewe Bro.
Niliwahi kukutunuku Kaspesky Internet Security freely!! Nadhani validity yake ilikua 2Yrs!?
Hizi shutuma za kutotimiza ahadi zinatoka wapi?
Imani yako haba itakuponza 🙁
Kila data zipo...Duuh! kweli mtunza kumbu kumbu
Bila kusahau mkono wa samaki,nyanda za kusini,if u die u die(password kutekwa)Kila data zipo...
Ule mkono, risti za Nyegezi na zinduzi zote mbili data zipo. Ni wewe tu na roho yako tu bro... [emoji16][emoji16][emoji16]