Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Haiwezekani!Nitajaribu kumshirikisha ili nikamfundishe kuishi na kuwazoea nyoka
Snake park yenyewe nikienda nakaaga very far
Haiwezekani!Nitajaribu kumshirikisha ili nikamfundishe kuishi na kuwazoea nyoka
Hii sikua nimeona aiseeHii skrinishoti umeipiga na aifoni? Vere pua kwoliti dah...
Mambo yote baba lao TECNO bana [emoji123][emoji123][emoji123]
Hahah! Aiemu soriDavet misosi yako nakuja kuilaiki jioni unanijaza mate tu!
capitalpool baba hujambo
Swalama kabisa,za huko madarisalama?Hahah!
Habari yako
huku migomba ipo ya kutosha??
Ndiyo maana nimesema aambatane na Moud kwenda kupiga hela...
Wale wenye baka jeupe nawaona sana mikoani ata Kanda ya ziwa ndio wapo wenyewe, kumbe walikimbizwa mjini [emoji3][emoji3]
Viungo hivi si ajabu utasikia vinaongeza zile nguvu zinazoongoza kwa kupotea [emoji16][emoji16][emoji16]
Asalam alaykum ndugu...Ndiyo, kunguru wenye baka jeupe ndiyo Kunguru wa asili ya Tanzania.
Wamefukuzwa Dar wako mikoani huko
Wahaya, Wanyakyusa na Wachaga watapiga hela sana...na watapanda migomba kwa wingi...huku migomba ipo ya kutosha??