Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vilivyopigwa marufuku kwa mujibu wa sheria ni vibebeo na si vifungashio.
Kampuni za kuzalisha na kuuza vifungashio zinaendelea na shughuli zake.
Bado ligi tamu:
1. Vipakti vya Chumvi ni plastic
2. Nailoni zinazotangulizwa ndan ya mifuko ya sukar ni plastic
3. Mifuko ya kuhifadhi mikate na Sikonzi ni plastic
4. Mifuko ya kuhifadhi mabegi yasiingiwe vumbi ni plastic
5. Mifuko ya kuhifadhi kandambili, viatu na yebo ni plastic
6. Mifuko mieupe inayotumika kubeba nyama machinjion ni plastic
7. Mifuko inayotumiwa na NECTA kutunzia mitihani ya kidato cha 2,4 na 6 ni plastic
8.Maziwa fresh na mgando nayo hutunzwa kwenye vifuko vya plastic
9. Mafuta ya kujipaka nayo huhifadhiwa kwa dazani kwenye Plastic
10. Mizani inayotumiwa na wafanyabiashara nayo huja ikiwa mipya ndani ya plastic.

Elisha Ekonia Mc
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna mvuvumko duniani kote kupambana na plastiki kwa ujumla wake. Haiozi, inaharibu mazingira na inatishia ikolojia ya bahari - ikolojia ambayo maisha ya mabilioni ya watu yanategemea ili kuendesha maisha yao. Nchi nyingi sasa zinapiga marufuku mifuko pamoja na chupa na teknolojia mpya zinatafutwa ili kujaribu kupunguza kwa kadri iwezekanavyo matumizi ya plastiki. Ni trend duniani kote.

Mifuko na chupa zinaandamwa kwa sababu ndiyo zinatumika sana na ndiyo zinaongoza kuleta bugudha za waziwazi za kimazingira mf. Kuziba mitaro ya kusafirisha maji mvua zikinyesha na madhila mengine katika maisha ya kawaida.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Haiwezekani kuangamiza plastiki kabisa kabisa. Ni kemikali ya muhimu katika mafuta na katika vitu vingi vingine. Nadhani lengo ni kupunguza tu na kubakiza yale matumizi ya lazima japo katika nchi zilizoendelea wanajibidisha sana kutafuta tekinolojia mbadala na serikali inatoa vimotishaji (incentives) kwa makampuni yanayojitahidi kubuni mbadala wa plastiki; na plastic recycling sasa ni biashara inayoingiza mabilioni.
 
Kuna mvuvumko duniani kote kupambana na plastiki kwa ujumla wake. Haiozi, inaharibu mazingira na inatishia ikolojia ya bahari - ikolojia ambayo maisha ya mabilioni ya watu yanategemea ili kuendesha maisha yao. Nchi nyingi sasa zinapiga marufuku mifuko pamoja na chupa na teknolojia mpya zinatafutwa ili kujaribu kupunguza kwa kadri iwezekanavyo matumizi ya plastiki. Ni trend duniani kote.

Mifuko na chupa zinaandamwa kwa sababu ndiyo zinatumika sana na ndiyo zinaongoza kuleta bugudha za waziwazi za kimazingira mf. Kuziba mitaro ya kusafirisha maji mvua zikinyesha na madhila mengine katika maisha ya kawaida.

Kuna mitaa ukipita huko uswazi uswazi au maeneo kama bahari hii kitu ni kero kweli, kama substitute yake inapatikana itakua poa sana.

Huko Australia nao wana kampeni yao ya kuua mapaka na Mbwa wa mitaani maana yanaonekana kua hatarishi kwa biodiversity
 
Back
Top Bottom