Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hutufundisha maana ya mafanikio

Pasipo shaka, mafanikio siyo mteremko au ukamilifu. Mafanikio ni kujifunza kutokana na makosa na kuepuka kuyarudia tena mbeleni. Kupitia makosa tunaweza kujifunza tufanye nini ili tufanikiwe katika lile tunalolifanya.
 
Hutufundisha kuomba msaada na ushauri

Tunapofanya makosa, mara nyingi tunatambua kuwa tunahitaji watu wakutusaidia kuyarekebisha au kutupa ushauri. Kabla ya kufanya kosa ambalo limekuletea matatizo, unaweza kufikiri unajitosheleza au hauhitaji msaada wowote.
 
Back
Top Bottom