Hamna kufanya mistake ktk vitu kama hivi.. ukiona unadowload kwanza halafu unaangalia vizuri baadaeHaiwezekani maana ilifutwa kwa kasi ya 7G
Na wewe fanya maamuzi magumu bro laa sivyo utakua unasubiri wakina Beckham wacheze ndio upate furaha 😀Nenda tu bro, nakutakia kheri huko uendako 🙁
AiseeTanzania inaongoza Afrika Mashariki, huku ikishika nafasi ya 5 Afrika kwa kuwa na watumiaji wengi wa bangi (milioni 3.6) licha ya kuharamishwa. Kenya ni ya pili Afrika Mashariki, ina watumiaji milioni 3.3, na Uganda watumiaji milioni 2.6, utafiti wa New Frontier Data umeonesha.
Ulitaka umzindue?
Au uzinduliwe?
Hufai bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah! Formula yako kiboko sema ndioulikua ushalalaHamna kufanya mistake ktk vitu kama hivi.. ukiona unadowload kwanza halafu unaangalia vizuri baadae
Kipendacho roho Bro,Na wewe fanya maamuzi magumu bro laa sivyo utakua unasubiri wakina Beckham wacheze ndio upate furaha 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Midoli gani? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1109821[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Aliifuta fasta fastaUliipata hiyo picha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah noma sanaTanzania inaongoza Afrika Mashariki, huku ikishika nafasi ya 5 Afrika kwa kuwa na watumiaji wengi wa bangi (milioni 3.6) licha ya kuharamishwa. Kenya ni ya pili Afrika Mashariki, ina watumiaji milioni 3.3, na Uganda watumiaji milioni 2.6, utafiti wa New Frontier Data umeonesha.
Umeona hapo juu Davet kasema kazaliwa 1995 wakati Lyatonga anamtingisha Nyerere. Humu aisee tunazozana na wanetu wa kuzaa kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]