Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipendacho roho Bro,
Man U ni sehemu ya Damu yangu 🤨
Hahah! Naelewa bro
20190527_222728.jpg
 
1109900


pierluigi gollini amekuwa star mkubwa kipindi hiki, miaka takribani saba iliopita kama nipo sahihi alisajiliwa manchester academy na alitabiriwa atakuwa mrithi wa buffon.
sielewi kwa nini man utd inaendelea kufanya makosa ya kuwaachia future star bila ya kuweka mikataba itakayowasaidia siku za mbeleni kama watamhitaji tena kijana wao waliomlea.
hongera pierluigi gollini kwa kijana mashuhuri
1109903
 
Mchezaji anayewaniwa na Barcelona Matthijs de Ligt, 19, ataamua mustakabali wake baada ya kushiriki ligi ya kimataifa ya Ulaya na timu yake ya taifa ya Uholanzi - tayari beki huyo kisiki na nahodha wa Ajax amesema anaipenda ligi ya Primia. (ESPN
 
Klabu ya Manchester City wameingia rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili kiungo wa Monaco mwenye thamani ya pauni milioni 40, Youri Tielemans. Klabu ya Leicester pia wanataka kumsajili kiungo huyo raia wa Ubelgiji mwenye miaka 22 baada kuichezea klabu hiyo kwa mkopo msimu uliopita. (Sun)
 
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane anataka kumbakiza beki Sergio Ramos, 33, klabuni hapo msimu ujao. Klabu kadhaa zinamuwinda beki huyo mkongwe zikiwemo Liverpool, Manchester United na timu kadhaa za ligi ya Uchina. (Marca - in Spanish)
 
Back
Top Bottom