😂😂😂😂 Daah bro broHahahaha, umemuona mwenzio bro[emoji1787][emoji1787]
Hili unafikiri tungefika hata tunakoenda? Tungeshukia njiani aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahahahahaahhaaha.
Kamanda hapo kama nakuona unavyojibana bana angalau uliguse guse jimama [emoji23][emoji23][emoji23]teh teh teh
Liverpool wanatetemeka
...in Mwl. Nyerere's voice....
Mrema alimtetemesha sana 1995...Maandaeitini wengi humu mlikuwa hamjazaliwa...[emoji16][emoji16][emoji16]
kwa nini mkuu?Liverpool wanatetemeka
Ilifutwa bro haipo tenaNaifukuzia rasmi bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni katika juhudi za kutunza kumbukumbu sawasawa kwa faida ya wanauzi wote...
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1109728
Si ulisemaga ukipanda nae basi huyo hamtafika mnapokwenda!View attachment 1109721
Halafu kumbe mlinisema kwenye hii picha wakati sipo na Moud ndiyo alikuwa mzee wa mjadala. Eti kama ni SYB atabanana hapo hapo mpaka kieleweke. Hamfai [emoji23][emoji23][emoji23]
Umehamia AVFC??
Mi nilidanrodi... 😁Ilifutwa bro haipo tena
Hahah! eti nimesema nimezaliwa 95 jamani, alafu tuombe uzima tu huo uhenga unaojivika utafika wala usijaliUmeona hapo juu Davet kasema kazaliwa 1995 wakati Lyatonga anamtingisha Nyerere. Humu aisee tunazozana na wanetu wa kuzaa kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]