Nasikia liver huwa wanapata shida kuwafunga jamaakwa nini mkuu?
teh teh no stress, nasubiri muarabu atambulishwe rasmi pale newcastle united.Umehamia AVFC??
Eti anasema akafufue adi aipate ๐hahaha yaan bro pekee ndo alipitwa
ilikuwa liverpool ya waingilishi watupu lakini hii ya nyakati hizi ya bwana klopp mzee wa high pressing ni motoooNasikia liver huwa wanapata shida kuwafunga jamaa
Mweee mwee atakumbana na ya kamwene akiwa standard 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Eti anasema akafufue adi aipate ๐
Nadhani unatania! Bro wewe si shabiki mkereketwa wa UNITED ama nakufananisha??teh teh no stress, nasubiri muarabu atambulishwe rasmi pale newcastle united.
najua kuna financial fair play lakini si tatizo, tutakachokifanya ni kuingia mikataba ya gharama itakayotuwezesha kupata hela ya kutosha kufanya usajili.
mkuu nahamia newcastle united muda wowote kuanzia sasa
Mmmh jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]teh teh no stress, nasubiri muarabu atambulishwe rasmi pale newcastle united.
najua kuna financial fair play lakini si tatizo, tutakachokifanya ni kuingia mikataba ya gharama itakayotuwezesha kupata hela ya kutosha kufanya usajili.
mkuu nahamia newcastle united muda wowote kuanzia sasa
๐๐๐๐Duuuu, kamanda unatisha.
Hebu fanya kweli PM Kiongozi
man utd si timu ya baba yangu wala ya mama yangu.Nadhani unatania! Bro wewe si shabiki mkereketwa wa UNITED ama nakufananisha??
Aisee.. Ukweni hakuendeki sasa hivi..
Mungu awanusuru!
Haiwezekani maana ilifutwa kwa kasi ya 7GMi nilidanrodi... ๐
Nenda tu bro, nakutakia kheri huko uendako ๐man utd si timu ya baba yangu wala ya mama yangu.
mkuu fanya tuhamie newcastle united kwa wachimba mafuta.
wajua ya kwamba mwanzoni waarabu kutoka family ya sheikh mansuri waliitaka liverpool kwa takribani trillioni 5 za kitanzania wakakataliwa.
sasa wanaelekea kuipata newcastle united kwa billioni 800 za kitanzania, hela iliobakia tunaingiza kwenye kuendeshea timu.
sheikh mansuri na familia yake siku za mbeleni watazimiliki timu nyingi sana
๐๐๐
๐ ๐ ๐ karibu timu alan shearer, kadi bado zinapatikana.Mmmh jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐Mweee mwee atakumbana na ya kamwene akiwa standard 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].