Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hukunambia kama iligoma, hilo si tatizo langu.

Point ya msingi nilisema kabla ya mwaka huu kuisha nitafanya hilo ..

Ni vizuri kuwa na subira sababu iPhone si kama TECNO kwamba nikiitaka kwa dharula naipata on spot.

Sina uhusiano na staff ama Apple company Bro,.. mwaka huu ukisha andaa Uzi kabisaa itakua ni haki yako [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Kumbukumbu hii imeshahifadhiwa kwenye mafaili. Prisca na Davet mashahidi [emoji16][emoji16][emoji16]
 

So sad jamaa alifariki mwaka jana
Ni kweli ilihakikishwa kuwa alifariki?

Pancreatic cancer ni hovyo kabisa...inajificha weee ikija kugundulika tayari stage 4...

Apumzike kwa amani. Maisha yetu haya yaani basi tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ophidiophobia – Hofu ya kuogopa nyoka.
Fragaria njoo. Unabipiwa huku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

ba6db352-29bb-43ac-b8b4-d4fa1052cd83.gif
 
[emoji119] [emoji119]

Kuna siku Prisca aliweka picha yake halisi humu alafu akaifuta hakuna alieona zaidi yangu maana ilikua ni usiku sana. Sasa ungekuepo naimani ungekua na kumbu kumbu yake
Sasa nitakuwaje na kumbukumbu ya kitu ambacho sikuona?

Najua malkia wetu the one and the only one Amun Ra mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai ndiyo alikosea akaweka picha yake halisi. Hiyo niliikosa kosa kwa sekunde tu na bahati mbaya hakuna aliyeiwahi isipokuwa mlengwa.

Screenshot_20190527-130648~2.jpeg


Ningeinyaka ya anonimazi foreva Prisca dah [emoji16][emoji16][emoji16]
 

So sad jamaa alifariki mwaka jana
Daah hii imesikitisha sana aisee 😢
 
Sasa nitakuwaje na kumbukumbu ya kitu ambacho sikuona?

Najua malkia wetu the one and the only one Amun Ra mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai ndiyo alikosea akaweka picha yake halisi. Hiyo niliikosa kosa kwa sekunde tu na bahati mbaya hakuna aliyeiwahi isipokuwa mlengwa.

View attachment 1109718

Ningeinyaka ya anonimazi foreva Prisca dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Prisca hupo hot bro tegemea ng'ombe wengi sanaaaaa
 
Back
Top Bottom