Kuna mvuvumko duniani kote kupambana na plastiki kwa ujumla wake. Haiozi, inaharibu mazingira na inatishia ikolojia ya bahari - ikolojia ambayo maisha ya mabilioni ya watu yanategemea ili kuendesha maisha yao. Nchi nyingi sasa zinapiga marufuku mifuko pamoja na chupa na teknolojia mpya zinatafutwa ili kujaribu kupunguza kwa kadri iwezekanavyo matumizi ya plastiki. Ni trend duniani kote.Hivi lengo la kuzuia hiyo mifuko ni nini?
Haiwezekani kuangamiza plastiki kabisa kabisa. Ni kemikali ya muhimu katika mafuta na katika vitu vingi vingine. Nadhani lengo ni kupunguza tu na kubakiza yale matumizi ya lazima japo katika nchi zilizoendelea wanajibidisha sana kutafuta tekinolojia mbadala na serikali inatoa vimotishaji (incentives) kwa makampuni yanayojitahidi kubuni mbadala wa plastiki; na plastic recycling sasa ni biashara inayoingiza mabilioni.Bado ligi tamu:
1. Vipakti vya Chumvi ni plastic
2. Nailoni zinazotangulizwa ndan ya mifuko ya sukar ni plastic
3. Mifuko ya kuhifadhi mikate na Sikonzi ni plastic
4. Mifuko ya kuhifadhi mabegi yasiingiwe vumbi ni plastic
5. Mifuko ya kuhifadhi kandambili, viatu na yebo ni plastic
6. Mifuko mieupe inayotumika kubeba nyama machinjion ni plastic
7. Mifuko inayotumiwa na NECTA kutunzia mitihani ya kidato cha 2,4 na 6 ni plastic
8.Maziwa fresh na mgando nayo hutunzwa kwenye vifuko vya plastic
9. Mafuta ya kujipaka nayo huhifadhiwa kwa dazani kwenye Plastic
10. Mizani inayotumiwa na wafanyabiashara nayo huja ikiwa mipya ndani ya plastic.
Elisha Ekonia Mc
Puliiiiziiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nipo kwenye mfungo bro [emoji16]
Haiwezekani kuangamiza plastiki kabisa kabisa. Ni kemikali ya muhimu katika mafuta na katika vitu vingi vingine. Nadhani lengo ni kupunguza tu na kubakiza yale matumizi ya lazima japo katika nchi zilizoendelea wanajibidisha sana kutafuta tekinolojia mbadala na serikali inatoa (vimotishaji) incentives kwa makampuni yanayojitahidi kubuni mbadala wa plastiki; na plastic recycling sasa ni biashara inayoingiza mabilioni.
Mara kwa mara ndio mara ngapi?
Sisi hata hili linaweza kugeuka sehemu ya watu kupigia pesa tu. Ngoja tuone...ila kwenye viroba naona walifanikiwa....Ngoja tuone Serikali na mikakati yake kuhusu hili ni lazima kutakuwa na changamoto nyingi na wengi wanaweza kabisa kuishia lupango kwa wiki nzima.