moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kabla ya ujio wa mifuko ya plastik Tanzania na hata Afrika, tulikua tunatumia mifuko au vikapu vitokanavyo na maganda ya miti na baadhi ya majani ambayo haikuleta uharibifu wa mazingira.
Sasa tuelekee tena huko, tukatumie vikapo vya ukindu, matawi ya mnazi na kamba za miti ambazo ni salama kwa mazingira tunayoishi
Sasa tuelekee tena huko, tukatumie vikapo vya ukindu, matawi ya mnazi na kamba za miti ambazo ni salama kwa mazingira tunayoishi
Kuna mitaa ukipita huko uswazi uswazi au maeneo kama bahari hii kitu ni kero kweli, kama substitute yake inapatikana itakua poa sana.
Huko Australia nao wana kampeni yao ya kuua mapaka na Mbwa wa mitaani maana yanaonekana kua hatarishi kwa biodiversity