Ahsante kwa tabasamu🙂Am fine thank you, sir[emoji28]
Tumuombe aambatane na Fragaria kwenye hilo chimbo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] unataka uyapandie ndege majoka?
umenikumbusha hadithi ya chairman mao tse tung alipoanzisha kampeni ya kuwaua ndege aina ya sparrow mnamo mwaka 1958.Nami nilisikia hivyo. Wale kunguru wakorofi waliletwa sijui kutoka Pakistani huko ili waje wasaidie kula uchafu. Matokeo yake wakawafurusha wale wa kienyeji na kugeuka kero kubwa...
Hahah! Wadau wanazama chimbo kupiga mpunga...
Nasikia hapa mjini Daslam miaka ya nyuma kulikua na Kunguru wengi sana mpaka ikawa kero ikabidi Manispaa waweke dau kwakila atakaepeleka vichwa vya hao viumbe. Hii habari ulishawai kuisikia au ni mtu tu aliamua kuninywesha chai?
mkuu hao kunguru wa zanzibar ni shidaa, unaambiwa wanapokuwa na njaa hata ukianika nguo yako ya ndani(chupi) wanaivamia wakidhani msosi 😛😛😛Dar es Salaam kulikuwa na kero ya Kunguru
Mnamo mwaka 1988-89 Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam waliendesha kampeni ya kuangamiza Kunguru weusi (Kunguru wa Zanzibar). Ndege hao ambao historia inatueleza kuwa waliagizwa na mzee Karume toka India ili wasaidie kusafisha mji wa Zanzibar walikuwa kero.
Jiji liliwatumia maofisa maliasiri kuwapiga risasi ndege hao na wananchi waliruhusiwa kuwaangamiza kwa mitego na wakalipwa. Kampeni ya kuwatega iliendelea kwa muda mrefu nadhani sasa kuna unafuu
Tena kwa wingi. Uzuri majoka menyewe hayana sumu. Ni constrictors na yanaua kwa kunyonga. Basi jamaa utawaona kwenye TV wamebebana nayo wanakwenda kulipwa. Kuna timu moja ya baba na mwanawe wanapiga hela balaa. Kuna siku waliyakamata 6 tena yote makubwa. Hapo ni $12,000 kwa siku moja [emoji16][emoji16][emoji16]
Duuh! Shukrani sana bro hii ilikua kitamboDar es Salaam kulikuwa na kero ya Kunguru
Mnamo mwaka 1988-89 Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam waliendesha kampeni ya kuangamiza Kunguru weusi (Kunguru wa Zanzibar). Ndege hao ambao historia inatueleza kuwa waliagizwa na mzee Karume toka India ili wasaidie kusafisha mji wa Zanzibar walikuwa kero.
Jiji liliwatumia maofisa maliasiri kuwapiga risasi ndege hao na wananchi waliruhusiwa kuwaangamiza kwa mitego na wakalipwa. Kampeni ya kuwatega iliendelea kwa muda mrefu nadhani sasa kuna unafuu
Kila kiumbe kwenye food chain aisee kina kazi yake. Ukitibua tu unaleta taabu. Huwa naisikia hiyo njaa ya China iliyoua mamilioni ya watu wakati wa Mao ila sikujua kama ilisababiswa na maamuzi mabovu...umenikumbusha hadithi ya chairman mao tse tung alipoanzisha kampeni ya kuwaua ndege aina ya sparrow mnamo mwaka 1958.
pumbavu zake alisababisha envoronmental calamities nchini china, chezea food chain
unaambiwa baada ya miaka mitatu ya kampeni hiyo inakadiriwa watu millioni 45 walifariki kwa matatizo mbali mbali ikiwemo njaa.
wale ndege waliuawa na ni kweli walikuwa wanakula sana nafaka kama kawaida lakini walileta faida ya kuwaua viwaviwavi wanaoshambulia msosi pamoja na wadudu wengine
walipoondoka ndege viwaviwavi wakavamia msosi, balaa likaanzia hapo, ubaya wa viwavi wanakula mpaka majani ya miti midogo
View attachment 1110201
In 1958 Mao Zedong ordered all the sparrows to be killed because they ate too much grain. This caused one of the worst environmental disasters in history
![]()
The Great Sparrow Campaign Was the Start of the Greatest Mass Starvation in History
In 1958, Mao Zedong ordered all sparrows to be killed. As a direct result, millions of people starved to death.www.mnn.com
Kumbe walikua ni Kunguru wa kigeni me nilijua ni hawa wetu local