Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Faida gani hizo?Kila asubuhi. Faida lukuki...
Faida gani hizo?Kila asubuhi. Faida lukuki...
HahahUliwaona ulipokwama Mwanza eeeh!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee....Hawa wameshafauru.
Mnamo mwaka 2006 ghorofa moja lilianguka Chang'ombe jijini Dar.
Ghorofa hilo la Chang'ombe Village Hotel ilidaiwa kujengwa juu ya takataka za plastik, kwamba wajenzi hawakuwa makini kuchimba kuondoa uchafu huo ambao ulionekana baada uchunguzi wa chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo
Alyeikum salaam!
Umeamkaje Boss?
Kupunguza presha, mafuta mwilini, calmness na mengineyo....Faida gani hizo?
🙏 🙏Kupunguza presha, mafuta mwilini, calmness na mengineyo....
Wengine wanauliza oooh,.. mahari ya dada etu utaleta lini😬😬😬Excellent answer...
Kuwekeana presha zisizo na kichwa wala miguu.
Utaoa/utaolewa lini?
Utapata mtoto lini?
Utajenga lini?
Utakufa lini?
Shwaiiiiniiii !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hili tunda ni kwa ajili yangu.
Wengine wanauliza oooh,.. mahari ya dada etu utaleta lini[emoji51][emoji51][emoji51]
Shwaiin zao kabisa!!