Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

pexels-photo-1065030.jpeg
 
There is no way nichanganye madesa or may be hujanielewa tu.

Ni sawa kutoa mahari, ni sawa pia kujibu kila swali la msingi kukuhusu. Mf. "Unaoa lini" ni swali la msingi sana!

Ni muhimu kutoa majibu kwa maswali ya msingi!

Contexts tofauti...

Unaoa lini ni swali la kisaka ubuyu tu lisilo na kichwa wala miguu. Kuoa au kutooa kwangu kunamhusu nini muuliza swali? Kuoa ni lazima? Hili ni swali lisilo na kichwa wala miguu...

Utatoa mahari lini? Kimsingi hili swali mtu hupaswi hata kuulizwa kwa sababu otomatikale ni wajibu wake...

Umenielewa?
 
Contexts tofauti...

Unaoa lini ni swali la kisaka ubuyu tu lisilo na kichwa wala miguu. Kuoa au kutooa kwangu kunamhusu nini muuliza swali? Kuoa ni lazima? Hili ni swali lisilo na kichwa wala miguu...

Utatoa mahari lini? Kimsingi hili swali mtu hupaswi hata kuulizwa kwa sababu otomatikale ni wajibu wako...

Umenielewa?
1110294
 
Back
Top Bottom