Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

60641213_211885796451992_5500626005791829917_n.jpg


Wapi my future wife
 
Hawa kunguru unaowana leo ndiyo hao wa kigeni.
Kunguru wenyeji ambao mara nyingi ni waoga wana baka jeupe shingoni.
Hawa Kunguru wa kigeni si waoga na ni wakali.
Kwa ukali wao wamefanikiwa kuwatimua kunguru weupe
Wale wenye baka jeupe nawaona sana mikoani ata Kanda ya ziwa ndio wapo wenyewe, kumbe walikimbizwa mjini 😀😀
 
Back
Top Bottom