Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

M.A.P bro
images (65).jpg
 
Hii sikua nimeona aisee

Natumia PC Bro, simu hairuhusiwi mezani wakati wa kazi.

Ila quality ipi unazungumzia? manake natumia Macbook hapa usitake nikutajie graphics capacity ya machine hii.

Afu ulisema TECNO yako iko na mpasuko kwa kioo [emoji51] [emoji51] [emoji51]

Unapata wapi ujasiri wa ku idiss Mac book?
IMG_20190526_191034_254.jpeg
 
Tunajifunza marafiki sahihi ni wapi

Ikiwa utafanya kosa kutokana na aina ya marafiki ulio nao, ni wazi kuwa kosa hilo litakufundisha umuhimu wakutazama aina za watu au marafiki unaoshirikiana nao. Marafiki bora watakutia moyo na kukuhamasisha kuendelea mbele ili kutimiza malengo yako na siyo kukuzamisha.
 
Back
Top Bottom