Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Salamu bro, natumai mambo mazuri huko.Akimkuta ana hamu ya kukata mauno ndo ataisoma namba [emoji16][emoji16][emoji16]
Salamu bro, natumai mambo mazuri huko.Akimkuta ana hamu ya kukata mauno ndo ataisoma namba [emoji16][emoji16][emoji16]
Hey Moud, kwema bro?Ramadhan inasemaje
Huku kwema bro. Vipi wewe? Kwema huko kwako? Kamalaika ketu lini? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Salamu bro, natumai mambo mazuri huko.
Salama salimini, mambo yanaenda vizuri.Kamalaika bado kanaandaliwa mazingira.Huku kwema bro. Vipi wewe? Kwema huko kwako? Kamalaika ketu lini? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sawa bro. Nilikuwa nakuchokoza tu. Mungu Aendelee kukubariki wewe pamoja na wapendwa wako bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Salama salimini, mambo yanaenda vizuri.Kamalaika bado kanaandaliwa mazingira.
Ahsante.Sawa bro. Nilikuwa nakuchokoza tu. Mungu Aendelee kukubariki wewe pamoja na wapendwa wako bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]