Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Ilitoka nilivyojifunza kuendesha baiskelišHalafu unakuta bikra hakuna. Hapo inakuwaje sasa?
Ilitoka nilivyojifunza kuendesha baiskelišHalafu unakuta bikra hakuna. Hapo inakuwaje sasa?
Jasti weiti....
Oh shukran kwa taarifa!Alisema hajiskii vizuri.
Hope kesho ataamka vyema.
ššOh shukran kwa taarifa!
Mungu asaidie apate nafuu
Good Night Guys
Goodnight too, with sweet dreams.Good Night Guys
Ilitoka nilivyojifunza kuendesha baiskeli[emoji3]
š¤£š¤£š¤£ Unaingia kwenye mafunzo chapchap!Hapo ukute hata baiskeli kuiendesha hujui basi! [emoji23][emoji23]
Uwe na usiku mwema Coco. Njozi njema.Good Night Guys
"Mazingira ya kufanya biashara nchini Tanzania yameporomoka kwa nafasi 12 kwa miaka miwili iliyopita na sasa Tanzania inashika nafasi ya 144 kwa mazingira bora ya biashara, Si kwamba (Tanzania) haifanyi mageuzi bali ni kwa sababu washindani wake wanafanya mageuzi kwa haraka zaidi kuliko Tanzania."- Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bella Bird
š¤£š¤£š¤£ Unaingia kwenye mafunzo chapchap!
Kwani ya nini kwani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Ama kweli, kuuziwa mbuzi kwenye gunia hakukwepeki. Inabidi tuwe wapole tu! [emoji6]