Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wallahi kuna wakati niliwaza weye si mbongo! Mbona anawapenda sana hawa Wakorea? Ila Kiswahili chako sasa! Ulisoma kule au huwa unazuka tu kufanya yako Mkuu?
teh teh teh nimecheka kama mtafutaji mbwa aliyepotea kinga lagulo (mwizi wa form za polisi) kwa mujibu wa cag wa nchi ya malawi.
mkuu nikutoe wasiwasi sijawahi kufika korea
wazazi wangu hawatokei korea
sijui kuzungumza wala kuandika lugha ya kikorea (hangul)
mtanzania niliyezaliwa na kukulia zanzibar mjini.​

ni mswahili niliyevuka mipaka ya uswahili wangu kitabia, lugha fasaha na matendo japokuwa watu wengi humu ndani inawawia vigumu kuamini.

mkuu mbona hata wewe unanitisha kwa sababu most of the time unagonga kiingilishi ambacho hata nikikaa na kamusi langu sioni ndani, unapenda life style za kimarekani, vyanzo vyako vikubwa vya habari hususani kwa celeberities ni marekani kuliko TZ.

lakini ndio raha ya demokrasia ya mzungu, imetuwezeesha kuwa na uhuru wa kuchagua tupendacho japokuwa kuna wajinga wachache wanataka kutuhabiria maisha yetu hapa tanzania kwa kujificha kwenye mwamvuli wa uzalendo

저는 한국 사람 아닙니다 = jeoneun hangug 🇰🇷🇰🇷🇰🇷 sah rahm ah neem nee dah
= sitokei korea

jason derulo

​
1111377
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽🙏🏽 Shukrani Mkuu.

teh teh teh nimecheka kama mtafutaji mbwa aliyeotea kinga lagulo (mwizi wa form za polisi) kwa mujibu wa cag wa nchi ya malawi.
mkuu nikutoe wasiwasi sijawahi kufika korea
wazazi wangu hawatokei korea
sijui kuzungumza wala kuandika lugha ya kikorea (hangul)
mtanzania niliyezaliwa na kukulia zanzibar mjini.​

ni mswahili niliyevuka mipaka ya uswahili wangu kitabia, lugha fasaha na matendo japokuwa watu wengi humu ndani inawawia vigumu kuamini.

mkuu mbona hata wewe unanitisha kwa sababu most of the time unagonga kiingilishi ambacho hata nikikaa na kamusi langu sioni ndani, unapenda life style za kimarekani, vyanzo vyako vikubwa vya habari hususani kwa celeberities ni marekani kuliko TZ.

lakini ndio raha ya demokrasia ya mzungu, imetuwezeesha kuwa na uhuru wa kuchagua tupendacho japokuwa kuna wajinga wachache wanataka kutuhabiria maisha yetu hapa tanzania kwa kujificha kwenye mwamvuli wa uzalendo

저는 한국 사람 아닙니다 = jeoneun hangug 🇰🇷🇰🇷🇰🇷 sah rahm ah neem nee dah
= sitokei korea

jason derulo

​
View attachment 1111377
 
mwenzangu na mimi unakesha kanisani na msikitini lakini unashindwa kutoa sadaka na uwezo unao.
yule aliyesema nukuu ya kijinga mtumikie kafiri uende zako ametudanganya.

heshima kwako gennaro gattuso jesus, yesu pekee duniani mwenye sifa za kihuni.
yule yesu wa india anakula kachori na bagia kuliko wanakondoo wake.
1111399

Genaro Gattuso gave up 5,5 millions to make sure his staff members would be paid till the end of their contracts
picha haina uhusiano wowote na hii taarifa jamani
 
New statement from UAE:
Terms have been agreed between us and Mike Ashley; these terms have been reflected in a document, signed by both parties, which has been forwarded to the Premier League.

kama nawaona mashabiki wa newcastle tunavyokimbilia madukani kutafuta kanzu, ukienda kwa man city unachezea kipigo ukirudi kwa newcastle unachezea kipigo.
1111402
 
Duh!!
 
View attachment 1111402
safiii
 
Back
Top Bottom